
Kukusaidia kupata
maelezo & huduma za Kodi
Tuambie machache kukuhusu
Jaza kodi, kuwa mtiifu
Omba Cheti cha Utiifu
Cheti cha Uzingatiaji Ushuru ni uthibitisho rasmi wa kuwa umewasilisha na kulipa kodi zako.
Tembelea iTax leo na uombe yako.
Kujaza Kodi kwa Wafanyibiashara
Je, tayari umeingia?
Fuata mwongozo wetu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kuwasilisha marejesho yako ya ushuru yasiyo ya mtu binafsi kwenye iTax.
Kujaza kodi kwa Watu Binafsi
Je, tayari umeingia?
Fuata mwongozo wetu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kuwasilisha marejesho yako ya ushuru kwenye iTax.