Uvumbuzi wa Mbinu ya Mpango wa Kujitolea Wakufichua Iwapo Mtu Amelipa Ushuru (Voluntary Tax Disclosure Programme)

Katika fedha za kulipa kulipa ushuru, Mamlaka ya Kulipa Ulipaji Nchini Kenya imepanua njia ya waliolipa kupitia mbinu ya mpango wa kujitolea wa kufichua iwapo mtu amelipa ushuru kupitia sharia ya kuthibiti fedha 2022, kuanzia tarehe 1 Januari 2021. hii itaendelea hadi Desemba 31 mwaka wa 2023.

Mpango wa kujitolea wa kufichua iwapo mtu amelipa ushuru inawapa kodi fursa ya kufichua kisiri madeni ya kodi ambazo hazija fichuliwa awali kwa kamishna na nia ya kuweza kurahisishiwa adhabu na riba ya kodi iliyofichuliwa.

Ufichuzi unaostahili kufichuliwa chini ya mpango huo, utakuwa kodi ambazo hazijawekwa hadharani kwa mamlaka ya kulipa. Mbali na hayo, madeni ya malipo ambayo yamekua yakiongezeka kwa kipindi cha miaka tangu tarehe 1 Julai 2015 hadi tarehe 30 Juni 2020, na baada ya kunufaika kutokana na kuondoa hapo kwa adhabu na riba kuanzia asilimia mia, hadi asilimia ishirini na tano za riba zilizokua zimekua zikiongezeka kwa njia ya adhabu na riba

Mpango huo unamhitaji mlipa kodi kufichua kodi kwa muda wa miaka kuanzia 1 Januari 2021 hadi 31 Desemba 2023. Iwapo mlipa kodi ataweza kufichua malipo ya kodi yake katika mwaka wa kwanza wa mpango huo (2021) ya kipindi cha mwaka mmoja, walipa watapata faida. kutoka asilimia mia moja ya adhabu ya riba.Hata hivyo iwapo ufichuzi utafanyika katika mwaka wa pili na wa tatu wa kipindi hicho (2022 na 2023), walipa kodi wanaweza kunufaika kutokana na kupewa msamaha wa msamaha hamsini na asilimia na tano ya adhabu na riba. zilizoongezeka mtawalia.

Mtu anayetaka kujumlishwa katika mpango huu wa kujitolea kufichua iwapo amelipa ushuru, anastahili kujiunga na mtandao wa masuala ya ushuru, ateue neno siri na neno siri yake binafsi, ateue sehemu ya Mpango wa kujitolea kufichua chini ya ushuru unaotokana na kodi.

Walipa kodi wataitajika kuchagua wajibu wa kulipa. Wanaoona haja ya kutoa ombi la kusamehewa kutokana na deni la ulipa kodi, waonyeze kitengo chenye kipindi cha kufanya jumla ya kodi anazostahili kulipa, kisha aongeze stakaba zinazoonyesha masuala ya kodi, ajumlishe suala ambalo hakuweza kujitangazia na maeneo ambayo ni lazima kisha awasilishe ombi hilo. .

Ombi litaweza kukubaliwa mtu anapotuma ombi lake katika ofisi ya ulipaji ushuru. Mlipalipa ataweza kutoa malipo tu iwapo ombi lake limekubaliwa 

Iwapo ombi litakubaliwa au litakataliwa, mlipa kodi atapata jawabu la kukubaliwa au kukataliwa kwa njia ya ujumbe wa barua pepe. Wale waliokubaliwa wataweza kunakili risiti kulingana na kitengo cha mpango wa kufichua iwapo amelipa ushuru na kisha atolee malipo kulingana na maagizo na kisha cheti cha VTDP kutolewa. 

Watu waliopewa chini ya VTDP hawatashtakiwa kwa madeni ya kodi yaliyofunguliwa chini ya kipindi hicho. Anayeomba fursa ya kupewa fursa ya kupewa wafanyie kazi ya kodi iliyofunguliwa kwa awamu kamaungana na kamishna. Hata hivyo, mtumizi wa masuala ya ushuru anapokosa kutangazia masuala ya ukweli, kamishna ana uhuru wa kukataa kumpa wepesi wa malipo pamoja na au hata ana uwezo wa mashtaka.

Hata hivyo hata kodi hawatapewa uhuru wa kulipa kodi ikiwa chini ya uchunguzi, uchunguzi au umuhimu wa kodi.Walipa kodi watazuiliwa kutokana na kunufaika na VTDP ikiwa ni kamishna wa masuala ya ushuru na ulipa kodi wamia hajawaarifu kuhusu ambao haujakamilika ama uchunguzi

Baada ya muda mrefu inataragiwa ya kuwa muda wa VTDP itawashawishi wananchi hali ya ulipa kodi kwa njia inayostahili miongoni mwa watu nchini na kusimamia ushuru wakati ule kipindi katika utendekazi wao.

NA : ELMAD KOYO


BLOGU 22/06/2022


Je, ulipata maudhui haya kuwa muhimu?

wastani Rating

5
Kulingana na ukadiriaji 1
💬
Uvumbuzi wa Mbinu ya Mpango wa Kujitolea Wakufichua Iwapo Mtu Amelipa Ushuru (Voluntary Tax Disclosure Programme)