Zoezi la Kusafisha Upper Hill

MAZINGIRA 08/08/2018

Zoezi la Kusafisha Upper Hill

Wafanyakazi wa KRA washiriki katika usafishaji eneo la Upper Hill jijini Nairobi tarehe 27 Aprili, 2018.

Harakati hiyo, iliyoandaliwa na Upper Hill District Association, ilileta pamoja mashirika tofauti tofauti kutoka Nairobi. Kutunza mazingira ni mojawapo ya nguzo za KRA?s Corporate Social Responsiblity (CSR), ambayo inatetea mazingira safi kwa watu wote kwa ajili ya uzalishaji wa juu zaidi.